shamba la ekari 5 la nanasi linauzwa kiwangwa
Sh275,000,000
Overview
- Land Type : Commercial
- Land Size : Ekari 5
Description
shamba la ekari 5 linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo lipo umbali wa kilometa 4 kutoka barabara kuu ya lami ya bagamoyo msata kila ekari moja inauzwa shilingi milion 5.5 shamba linamazao kama unavyoliona
Leave feedback about this